2024Toleo la nne
Kubadili mtazamo wa vijana kuhusu kilimo
Toleo la nne liliunganisha mbio za km 5, 10 na 21, mbio za milimani (trail run) na baiskeli km 60, pamoja na maonyesho ya kilimo, michezo mingine uwanjani, utalii wa kilimo na hafla ya tuzo. Washiriki walipata fulana, medali na namba ya BIB.
- Tarehe
- 24 Novemba 2024
- Mahali
- Morogoro Secondary School, Morogoro
- Walengwa
- Vijana wa miaka 18–40
Picha za siku ya 2024 bado tunazikusanya.







